na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
2 Timotheo 4:22 - Swahili Revised Union Version Bwana na awe pamoja na roho yako. Neema na iwe pamoja nanyi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Bwana awe nawe rohoni mwako. Nawatakieni nyote neema. Biblia Habari Njema - BHND Bwana awe nawe rohoni mwako. Nawatakieni nyote neema. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Bwana awe nawe rohoni mwako. Nawatakieni nyote neema. Neno: Bibilia Takatifu Bwana Isa awe pamoja na roho yako. Neema iwe pamoja nanyi. Neno: Maandiko Matakatifu Bwana Isa awe pamoja na roho yako. Neema iwe pamoja nanyi. Amen. BIBLIA KISWAHILI Bwana na awe pamoja na roho yako. Neema na iwe pamoja nanyi. |
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Naye Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]
Naandika salamu yangu mimi Paulo, kwa mkono wangu mwenyewe. Kumbukeni kufungwa kwangu. Neema na iwe pamoja nanyi.