Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi sawa na hayo?
2 Timotheo 4:19 - Swahili Revised Union Version Nisalimie Priska na Akila, na wale wa nyumbani mwa Onesiforo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wasalimu Priska na Akula, pamoja na jamaa ya Onesiforo. Biblia Habari Njema - BHND Wasalimu Priska na Akula, pamoja na jamaa ya Onesiforo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wasalimu Priska na Akula, pamoja na jamaa ya Onesiforo. Neno: Bibilia Takatifu Wasalimu Prisila na Akila, na wote wa nyumbani mwa Onesiforo. Neno: Maandiko Matakatifu Wasalimu Prisila na Akila, na wote wa nyumbani kwa Onesiforo. BIBLIA KISWAHILI Nisalimie Priska na Akila, na wale wa nyumbani mwa Onesiforo. |
Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi sawa na hayo?
Baada ya hayo Paulo akazidi kukaa huko siku nyingi, kisha akaagana na ndugu akaabiri kwenda Shamu; na Priskila na Akila wakaenda pamoja naye, alipokwisha kunyoa kichwa chake huko Kenkrea; maana alikuwa ana nadhiri.
Akamwona Myahudi mmoja, jina lake Akila, mzalia wa Ponto; naye amekuja kutoka nchi ya Italia siku za karibu, pamoja na Priskila mkewe, kwa sababu Klaudio amewaamuru Wayahudi wote watoke Rumi, naye akafika kwao;
Akaanza kunena kwa ujasiri katika sinagogi; hata Priskila na Akila walipomsikia wakampeleka kwao, wakamweleza njia ya Bwana kwa usahihi zaidi.
Makanisa ya Asia wawasalimu. Akila na Priska wawasalimu sana katika Bwana, pamoja na kanisa lililoko ndani ya nyumba yao.