2 Timotheo 4:15 - Swahili Revised Union Version Nawe ujihadhari na huyo, kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali. Biblia Habari Njema - BHND Jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali. Neno: Bibilia Takatifu Wewe pia ujihadhari naye kwa sababu aliyapinga maneno yetu vikali. Neno: Maandiko Matakatifu Wewe pia ujihadhari naye kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu. BIBLIA KISWAHILI Nawe ujihadhari na huyo, kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu. |
Na kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Musa, vivyo hivyo na hawa wanapingana na ile kweli; ni watu walioharibika akili zao, wamekataliwa kwa mambo ya imani.
Iskanda, mfua shaba, alionesha ubaya mwingi kwangu; Bwana atamlipa kulingana na matendo yake.
Katika utetezi wangu wa kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu, bali wote waliniacha; naomba wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.