2 Timotheo 3:7 - Swahili Revised Union Version wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wanawake ambao wanajaribu daima kujifunza lakini hawawezi kuufikia ujuzi wa huo ukweli. Biblia Habari Njema - BHND wanawake ambao wanajaribu daima kujifunza lakini hawawezi kuufikia ujuzi wa huo ukweli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wanawake ambao wanajaribu daima kujifunza lakini hawawezi kuufikia ujuzi wa huo ukweli. Neno: Bibilia Takatifu Hawa hujifunza siku zote, lakini kamwe hawawezi kuufikia ujuzi wa kweli. Neno: Maandiko Matakatifu Wakijifunza siku zote lakini kamwe wasiweze kufikia ujuzi wa kweli. BIBLIA KISWAHILI wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli. |
Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.
Mnawezaje kuamini ninyi mnaopokeana utukufu ninyi kwa ninyi, na utukufu ule utokao kwa Mungu aliye wa pekee hamwutafuti?
ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa mafundisho, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu.
lakini BWANA hakuwapa moyo wa kujua, wala macho ya kuona, wala masikio ya kusikia, hata leo hivi.
akiwaonya kwa upole wao washindanao naye, ili kama ikiwezekana, Mungu awajalie ili watubu na kuijua kweli;
Yeye ambaye tuna maneno mengi ya kunena kuhusu habari zake; na ni shida kuyaeleza kwa kuwa mmekuwa wavivu wa kusikia.