Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.
2 Timotheo 1:11 - Swahili Revised Union Version kwa ajili ya Injili hiyo niliwekwa niwe mhubiri, mtume na mwalimu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi nimechaguliwa niwe mtume na mwalimu kwa ajili ya kuhubiri Habari Njema, Biblia Habari Njema - BHND Mimi nimechaguliwa niwe mtume na mwalimu kwa ajili ya kuhubiri Habari Njema, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi nimechaguliwa niwe mtume na mwalimu kwa ajili ya kuhubiri Habari Njema, Neno: Bibilia Takatifu Nami nimewekwa kuwa mhubiri, mtume na mwalimu wa Injili hii. Neno: Maandiko Matakatifu Nami nimewekwa kuwa mhubiri, mtume na mwalimu wa Injili hii. BIBLIA KISWAHILI kwa ajili ya Injili hiyo niliwekwa niwe mhubiri, mtume na mwalimu. |
Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.
Je! Mimi siko huru? Mimi si mtume? Mimi sikumwona Yesu Bwana wetu? Ninyi si kazi yangu katika Bwana?
wakitaka kuwa waalimu wa sheria, ingawa hawayafahamu wasemayo wala mambo yale wayanenayo kwa uthabiti.
Nami kwa ajili ya huo niliwekwa niwe mhubiri na mtume, (nasema kweli, sisemi uongo), mwalimu wa Mataifa katika imani na kweli.