kuupitisha ufalme toka nyumba ya Sauli, na kukisimamisha kiti cha Daudi juu ya Israeli, na juu ya Yuda, toka Dani mpaka Beer-sheba.
2 Samueli 3:11 - Swahili Revised Union Version Wala hakuweza kumjibu Abneri tena, kwa sababu alimwogopa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ishboshethi hakuweza kusema neno, kwa kuwa alikuwa anamwogopa Abneri. Biblia Habari Njema - BHND Ishboshethi hakuweza kusema neno, kwa kuwa alikuwa anamwogopa Abneri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ishboshethi hakuweza kusema neno, kwa kuwa alikuwa anamwogopa Abneri. Neno: Bibilia Takatifu Ish-Boshethi hakuthubutu kusema neno jingine kwa Abneri, kwa sababu alimwogopa Abneri. Neno: Maandiko Matakatifu Ish-Boshethi hakuthubutu kusema neno jingine kwa Abneri, kwa sababu alimwogopa Abneri. BIBLIA KISWAHILI Wala hakuweza kumjibu Abneri tena, kwa sababu alimwogopa. |
kuupitisha ufalme toka nyumba ya Sauli, na kukisimamisha kiti cha Daudi juu ya Israeli, na juu ya Yuda, toka Dani mpaka Beer-sheba.
Basi Abneri akatuma wajumbe kwa Daudi mahali alipokuwapo, akisema, Nchi hii ni ya nani? Fanya agano nami, na tazama, mkono wangu utakuwa pamoja nawe, ili kuwaleta Israeli wote kwako.