Na baada yake kulikuwa na Shama, mwana wa Agee, Mharari; nao Wafilisti walikuwa wamekusanyika huko Lehi, palipokuwapo shamba lililojaa midengu; nao watu wakawakimbia Wafilisti;
2 Samueli 23:33 - Swahili Revised Union Version mwana wa Shama, Mharari, na Ahiamu, mwana wa Shalali, Mharari; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shama, Mharari; Ahimu mwana wa Sharari, Mharari; Biblia Habari Njema - BHND Shama, Mharari; Ahimu mwana wa Sharari, Mharari; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shama, Mharari; Ahimu mwana wa Sharari, Mharari; Neno: Bibilia Takatifu mwana wa Shama Mharari; Ahiamu mwana wa Sharari Mharari; Neno: Maandiko Matakatifu mwana wa Shama, Mharari; Ahiamu mwana wa Sharari, Mharari; BIBLIA KISWAHILI mwana wa Shama, Mharari, na Ahiamu, mwana wa Shalali, Mharari; |
Na baada yake kulikuwa na Shama, mwana wa Agee, Mharari; nao Wafilisti walikuwa wamekusanyika huko Lehi, palipokuwapo shamba lililojaa midengu; nao watu wakawakimbia Wafilisti;
na Elifeleti, mwana wa Ahasbai, na Heferi, Mmaakathi, na Eliamu, mwana wa Ahithofeli, Mgiloni;