Kamanda wa kumi na moja wa mwezi wa kumi na moja alikuwa Benaya, Mpirathoni, wa wana wa Efraimu; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
2 Samueli 23:30 - Swahili Revised Union Version na Benaya, Mpirathoni, na Hurai, wa vijito vya Gaashi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Benaya, Mpirathoni; Hidai, wa vijito vya Gaashi; Biblia Habari Njema - BHND Benaya, Mpirathoni; Hidai, wa vijito vya Gaashi; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Benaya, Mpirathoni; Hidai, wa vijito vya Gaashi; Neno: Bibilia Takatifu Benaya Mpirathoni; Hidai kutoka mabonde ya Gaashi; Neno: Maandiko Matakatifu Benaya Mpirathoni; Hidai kutoka mabonde ya Gaashi; BIBLIA KISWAHILI na Benaya, Mpirathoni, na Hurai, wa vijito vya Gaashi; |
Kamanda wa kumi na moja wa mwezi wa kumi na moja alikuwa Benaya, Mpirathoni, wa wana wa Efraimu; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
Wakamzika katika nchi ya urithi wake, huko Timnath-sera; ulio katika nchi ya vilima ya Efraimu, upande wa kaskazini wa mlima wa Gaashi.
Huyo Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akafa, akazikwa huko Pirathoni katika nchi ya Efraimu, katika nchi ya vilima ya Waamaleki.
Nao wakamzika katika mpaka wa urithi wake katika Timnath-heresi, katika nchi ya vilima vilima ya Efraimu, upande wa kaskazini wa mlima wa Gaashi.