Wala hakuna kiumbe kisichokuwa wazi mbele zake, maana vitu vyote ni tupu na kuwekwa wazi machoni pake yeye ambaye tunapaswa kuwajibika kwake.
2 Samueli 18:13 - Swahili Revised Union Version Na tena, kama ningaliitendea roho yake kwa hila; (wala hapana neno lolote liwezalo kufichwa mbele ya mfalme); ndipo wewe mwenyewe ungalijitenga. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa upande mwingine, kama ningemtendea kwa hila (na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme) wewe mwenyewe ungeniruka.” Biblia Habari Njema - BHND Kwa upande mwingine, kama ningemtendea kwa hila (na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme) wewe mwenyewe ungeniruka.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa upande mwingine, kama ningemtendea kwa hila (na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme) wewe mwenyewe ungeniruka.” Neno: Bibilia Takatifu Nami kama ningekuwa nimemtendea kwa hila, na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme, wewe mwenyewe ungejitenga nami.” Neno: Maandiko Matakatifu Nami kama ningekuwa nimemtendea kwa hila, na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme, wewe mwenyewe ungejitenga nami.” BIBLIA KISWAHILI Na tena, kama ningaliitendea roho yake kwa hila; (wala hapana neno lolote liwezalo kufichwa mbele ya mfalme); ndipo wewe mwenyewe ungalijitenga. |
Wala hakuna kiumbe kisichokuwa wazi mbele zake, maana vitu vyote ni tupu na kuwekwa wazi machoni pake yeye ambaye tunapaswa kuwajibika kwake.