Naye Absalomu akamweka Amasa awe juu ya jeshi mahali pa Yoabu. Basi huyo Amasa alikuwa mwana wa mtu, jina lake Yetheri, Mwishmaeli, aliyeingia kwa Abigali, binti Nahashi, nduguye Seruya, mamaye Yoabu.
2 Samueli 17:26 - Swahili Revised Union Version Israeli na Absalomu wakapiga kambi katika nchi ya Gileadi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Absalomu pamoja na watu wa Israeli walipiga kambi yao katika nchi ya Gileadi. Biblia Habari Njema - BHND Absalomu pamoja na watu wa Israeli walipiga kambi yao katika nchi ya Gileadi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Absalomu pamoja na watu wa Israeli walipiga kambi yao katika nchi ya Gileadi. Neno: Bibilia Takatifu Waisraeli na Absalomu wakapiga kambi huko nchi ya Gileadi. Neno: Maandiko Matakatifu Waisraeli na Absalomu wakapiga kambi huko nchi ya Gileadi. BIBLIA KISWAHILI Israeli na Absalomu wakapiga kambi katika nchi ya Gileadi. |
Naye Absalomu akamweka Amasa awe juu ya jeshi mahali pa Yoabu. Basi huyo Amasa alikuwa mwana wa mtu, jina lake Yetheri, Mwishmaeli, aliyeingia kwa Abigali, binti Nahashi, nduguye Seruya, mamaye Yoabu.
Ikawa, Daudi alipofika Mahanaimu, Shobi, mwana wa Nahashi wa Raba, wa wana wa Amoni, na Makiri, mwana wa Amieli wa Lo-debari, na Barzilai, Mgileadi wa Rogelimu,
Hivyo watu wakatoka waende nyikani ili kupigana na Israeli; na vita vikatokea ndani ya msitu wa Efraimu.
Hii ndiyo sehemu waliyopewa kabila la Manase; maana, yeye alikuwa ni mzaliwa wa kwanza, wa Yusufu. Na Makiri, mzaliwa wa kwanza wa Manase, babaye Gileadi, kwa sababu alikuwa mtu wa vita, basi alikuwa na Gileadi na Bashani.