Naye Yoabu akaanguka kifudifudi hadi chini, akasujudu, akambariki mfalme, Yoabu akasema, Leo mimi mtumwa wako ninajua ya kwamba nimepata neema machoni pako, bwana wangu mfalme, kwa kuwa mfalme amemfanyia mtumishi wake haja yake.
2 Samueli 14:23 - Swahili Revised Union Version Basi Yoabu akaondoka, akaenda Geshuri, akamleta Absalomu Yerusalemu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hivyo, Yoabu aliondoka, akaenda Geshuri kumleta Absalomu mjini Yerusalemu. Biblia Habari Njema - BHND Hivyo, Yoabu aliondoka, akaenda Geshuri kumleta Absalomu mjini Yerusalemu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hivyo, Yoabu aliondoka, akaenda Geshuri kumleta Absalomu mjini Yerusalemu. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Yoabu akaenda hadi Geshuri akamrudisha Absalomu Yerusalemu. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Yoabu akaenda hadi Geshuri akamrudisha Absalomu Yerusalemu. BIBLIA KISWAHILI Basi Yoabu akaondoka, akaenda Geshuri, akamleta Absalomu Yerusalemu. |
Naye Yoabu akaanguka kifudifudi hadi chini, akasujudu, akambariki mfalme, Yoabu akasema, Leo mimi mtumwa wako ninajua ya kwamba nimepata neema machoni pako, bwana wangu mfalme, kwa kuwa mfalme amemfanyia mtumishi wake haja yake.
na wa pili wake Danieli, wa Abigaili mkewe Nabali wa Karmeli; na wa tatu Absalomu, mwana wa Maaka binti Talmai, mfalme wa Geshuri,
Yairi, mwana wa Manase, alitwaa nchi yote ya Argobu, hata mpaka wa Wageshuri na Wamaaka; akaziita nchi hizo Hawoth-yairi, kwa jina lake mwenyewe, hata hivi leo, maana, hizo nchi za Bashani.)