Watu wa mji wakatoka, wakapigana na Yoabu; na baadhi ya watu, watumishi wa Daudi, wakaanguka; Uria, Mhiti, naye akafa.
2 Samueli 11:18 - Swahili Revised Union Version Ndipo Yoabu akapeleka ujumbe na kumwarifu Daudi habari zote za vita; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha, Yoabu alipeleka habari zote kwa Daudi akimweleza juu ya vita. Biblia Habari Njema - BHND Kisha, Yoabu alipeleka habari zote kwa Daudi akimweleza juu ya vita. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha, Yoabu alipeleka habari zote kwa Daudi akimweleza juu ya vita. Neno: Bibilia Takatifu Yoabu akampelekea Daudi maelezo yote ya vita. Neno: Maandiko Matakatifu Yoabu akampelekea Daudi maelezo yote ya vita. BIBLIA KISWAHILI Ndipo Yoabu akapeleka ujumbe na kumwarifu Daudi habari zote za vita; |
Watu wa mji wakatoka, wakapigana na Yoabu; na baadhi ya watu, watumishi wa Daudi, wakaanguka; Uria, Mhiti, naye akafa.
Akaja mjumbe, akamwambia, akasema, Wamevileta vile vichwa vya wana wa mfalme. Akasema, Viwekeni marundo mawili penye maingilio ya lango hata asubuhi.