Yule kijana aliyempa habari akasema, Nilikuwapo kwa nasibu juu ya kilima cha Gilboa, na tazama, Sauli alikuwa ameegemea fumo lake; na tazama, magari na wapanda farasi wanamfuatia kwa kasi.
2 Samueli 1:7 - Swahili Revised Union Version Naye alipotazama nyuma, akaniona, akaniita. Nikajibu, Mimi hapa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shauli alipotazama nyuma, aliniona, akaniita. Nilipoitika, Biblia Habari Njema - BHND Shauli alipotazama nyuma, aliniona, akaniita. Nilipoitika, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shauli alipotazama nyuma, aliniona, akaniita. Nilipoitika, Neno: Bibilia Takatifu Alipogeuka na kuniona, akaniita, nami nikasema, ‘Je, nifanye nini?’ Neno: Maandiko Matakatifu Alipogeuka na kuniona, akaniita, nami nikasema, ‘Je, nifanye nini?’ BIBLIA KISWAHILI Naye alipotazama nyuma, akaniona, akaniita. Nikajibu, Mimi hapa. |
Yule kijana aliyempa habari akasema, Nilikuwapo kwa nasibu juu ya kilima cha Gilboa, na tazama, Sauli alikuwa ameegemea fumo lake; na tazama, magari na wapanda farasi wanamfuatia kwa kasi.
Basi Mefiboshethi, mwana wa Yonathani, mwana wa Sauli akaenda kwa Daudi, akaanguka kifudifudi, akasujudu. Daudi akasema, Mefiboshethi! Naye akaitika, Mimi hapa, mtumishi wako!
Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi.
Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; nililiambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,
Ndipo akamwita kwa haraka huyo kijana aliyekuwa anamchukulia silaha zake, na kumwambia, Futa upanga wako, uniue, ili watu wasiseme juu yangu, Aliuawa na mwanamke. Basi huyo kijana wake akamchoma upanga, naye akafa.