1 Wakorintho 7:8 - Swahili Revised Union Version Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wale ambao hawajaoa na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wale ambao hawajaoa na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wale ambao hawajaoa na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo. Neno: Bibilia Takatifu Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe. BIBLIA KISWAHILI Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. |
Lakini nataka msiwe na masumbufu. Yeye asiyeoa hujishughulisha na mambo ya Bwana, ampendezeje Bwana;
Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; lakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.
Hatuna uwezo kuchukua pamoja nasi mke aliye ndugu, kama wao mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?