1 Wakorintho 11:8 - Swahili Revised Union Version Maana mwanamume hakutoka katika mwanamke, bali mwanamke katika mwanamume. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka kwa mwanamume. Biblia Habari Njema - BHND Mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka kwa mwanamume. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka kwa mwanamume. Neno: Bibilia Takatifu Kwa maana mwanaume hakutoka kwa mwanamke, bali mwanamke alitoka kwa mwanaume. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa maana mwanaume hakutoka kwa mwanamke, bali mwanamke alitoka kwa mwanaume. BIBLIA KISWAHILI Maana mwanamume hakutoka katika mwanamke, bali mwanamke katika mwanamume. |