Naye Nathani akaondoka kwenda nyumbani kwake. Basi BWANA akampiga yule mtoto ambaye mkewe Uria alimzalia Daudi naye akawa mgonjwa sana.
1 Wafalme 14:1 - Swahili Revised Union Version Siku zile akaugua Abiya, mwana wa Yeroboamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati huo, Abiya mwana wa mfalme Yeroboamu, akawa mgonjwa. Biblia Habari Njema - BHND Wakati huo, Abiya mwana wa mfalme Yeroboamu, akawa mgonjwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati huo, Abiya mwana wa mfalme Yeroboamu, akawa mgonjwa. Neno: Bibilia Takatifu Wakati ule, Abiya mwana wa Yeroboamu akaugua, Neno: Maandiko Matakatifu Wakati ule Abiya mwana wa Yeroboamu akaugua, BIBLIA KISWAHILI Siku zile akaugua Abiya, mwana wa Yeroboamu. |
Naye Nathani akaondoka kwenda nyumbani kwake. Basi BWANA akampiga yule mtoto ambaye mkewe Uria alimzalia Daudi naye akawa mgonjwa sana.
Yeroboamu akamwambia mkewe, Ondoka, tafadhali, ujibadilishe, wasikujue kuwa mkewe Yeroboamu; ukaende Shilo; tazama, yuko huko Ahiya nabii, aliyeninena mimi ya kwamba nitakuwa mfalme juu ya watu hawa.
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
ndipo Sedekia, mfalme, akatuma watu wamlete; naye mfalme akamwuliza kwa siri ndani ya nyumba yake, akasema, Je! Liko neno lililotoka kwa BWANA? Yeremia akasema, Liko. Akasema pia, Utatiwa katika mikono ya mfalme wa Babeli.
Wafilisti wakamfuatia sana Sauli na wanawe, Wafilisti wakawaua Yonathani, na Abinadabu, na Malkishua, wana wa Sauli.