Kwa maana yeyote atakayeyafanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni, huyu ndiye kaka yangu, na dada yangu na mama yangu.
1 Timotheo 5:2 - Swahili Revised Union Version wanawake wazee kama mama; wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wanawake wazee kama mama zako, na vijana wa kike kama dada zako, kwa usafi wote. Biblia Habari Njema - BHND wanawake wazee kama mama zako, na vijana wa kike kama dada zako, kwa usafi wote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wanawake wazee kama mama zako, na vijana wa kike kama dada zako, kwa usafi wote. Neno: Bibilia Takatifu nao wanawake wazee uwatendee kama mama zako, na wanawake vijana kama dada zako, katika usafi wote. Neno: Maandiko Matakatifu nao wanawake wazee uwatendee kama mama zako, na wanawake vijana kama dada zako, katika usafi wote. BIBLIA KISWAHILI wanawake wazee kama mama; wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote. |
Kwa maana yeyote atakayeyafanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni, huyu ndiye kaka yangu, na dada yangu na mama yangu.
Hatimaye, ndugu zangu, mambo yoyote yaliyo ya kweli, yoyote yaliyo ya heshima, yoyote yaliyo ya haki, yoyote yaliyo safi, yoyote yenye kupendeza, yoyote yenye sifa njema; ukiwapo wema wowote, ikiwapo sifa nzuri yoyote, yatafakarini hayo.
Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi.
Lakini zikimbie tamaa za ujanani; ukafuate haki, na imani, na upendo, na amani, pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi.