Basi watu wa Yuda wakaenda, wakamtia Daudi mafuta huko, awe mfalme juu ya nyumba ya Yuda. Wakamwambia Daudi wakasema, Watu wa Yabesh-gileadi ndio waliomzika Sauli.
1 Samueli 31:11 - Swahili Revised Union Version Na wenyeji wa Yabesh-gileadi waliposikia habari zake, jinsi hao Wafilisti walivyomtenda Sauli, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wakazi wa mji wa Yabesh-gileadi waliposikia Wafilisti walivyomtendea Shauli, Biblia Habari Njema - BHND Lakini wakazi wa mji wa Yabesh-gileadi waliposikia Wafilisti walivyomtendea Shauli, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wakazi wa mji wa Yabesh-gileadi waliposikia Wafilisti walivyomtendea Shauli, Neno: Bibilia Takatifu Watu wa Yabesh-Gileadi waliposikia yale Wafilisti waliyomfanyia Sauli, Neno: Maandiko Matakatifu Watu wa Yabeshi-Gileadi waliposikia yale Wafilisti walichomfanyia Sauli, BIBLIA KISWAHILI Na wenyeji wa Yabesh-gileadi waliposikia habari zake, jinsi hao Wafilisti walivyomtenda Sauli, |
Basi watu wa Yuda wakaenda, wakamtia Daudi mafuta huko, awe mfalme juu ya nyumba ya Yuda. Wakamwambia Daudi wakasema, Watu wa Yabesh-gileadi ndio waliomzika Sauli.
Akaenda Daudi, akaitwaa mifupa ya Sauli na mifupa ya Yonathani mwanawe mikononi mwa watu wa Yabesh-gileadi; waliyoiiba katika njia ya Beth-sheani, hapo Wafilisti walipowatungika, katika siku hiyo waliyomwua Sauli huko Gilboa;
Basi wakasema, Ni ipi katika makabila ya Israeli ambayo haikufika mbele ya Bwana huko Mispa.