Naye Daudi na watu wake walikuwa wakikwea na kuwashambulia Wageshuri, na Wagirizi, na Waamaleki waliokuwa wenyeji wa nchi hiyo, tangu Telemu, hapo uendapo Shuri, mpaka nchi ya Misri.
1 Samueli 27:7 - Swahili Revised Union Version Na hesabu ya siku alizokaa Daudi katika nchi ya Wafilisti ilikuwa mwaka mzima na miezi minne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Daudi aliishi katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa mwaka mmoja na miezi minne. Biblia Habari Njema - BHND Daudi aliishi katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa mwaka mmoja na miezi minne. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Daudi aliishi katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa mwaka mmoja na miezi minne. Neno: Bibilia Takatifu Daudi akaishi katika nchi ya Wafilisti muda wa mwaka mmoja na miezi minne. Neno: Maandiko Matakatifu Daudi akaishi katika nchi ya Wafilisti muda wa mwaka mmoja na miezi minne. BIBLIA KISWAHILI Na hesabu ya siku alizokaa Daudi katika nchi ya Wafilisti ilikuwa mwaka mzima na miezi minne. |
Naye Daudi na watu wake walikuwa wakikwea na kuwashambulia Wageshuri, na Wagirizi, na Waamaleki waliokuwa wenyeji wa nchi hiyo, tangu Telemu, hapo uendapo Shuri, mpaka nchi ya Misri.
Ndipo wakuu wa Wafilisti wakasema, Waebrania hawa wanafanya nini hapa? Naye Akishi akawaambia wakuu wa Wafilisti, Je! Siye huyu Daudi, yule mtumishi wa Sauli, mfalme wa Israeli, ambaye amefuatana na mimi siku hizi, naam, miaka hii, wala mimi nisione hatia kwake, tangu hapo aliponiangukia mimi hata leo?