1 Samueli 20:40 - Swahili Revised Union Version Naye Yonathani akampa mtoto silaha zake, akamwambia, Nenda, ukazichukue mjini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yonathani akamkabidhi yule kijana silaha zake na kumwambia “Nenda urudi mjini.” Biblia Habari Njema - BHND Yonathani akamkabidhi yule kijana silaha zake na kumwambia “Nenda urudi mjini.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yonathani akamkabidhi yule kijana silaha zake na kumwambia “Nenda urudi mjini.” Neno: Bibilia Takatifu Basi Yonathani akampa yule mvulana silaha zake na kumwambia, “Nenda, zirudishe mjini.” Neno: Maandiko Matakatifu Basi Yonathani akampa yule mvulana silaha zake na kumwambia, “Nenda, zirudishe mjini.” BIBLIA KISWAHILI Naye Yonathani akampa mtoto silaha zake, akamwambia, Nenda, ukazichukue mjini. |
Basi mara alipokuwa amekwisha ondoka yule mtoto, mara Daudi akatoka mahali pale karibu na kile kichuguu, akaanguka kifudifudi, akajiinama mara tatu; nao wakabusiana, wakaliliana, hata Daudi akazidi.