Daudi akaapa, akasema, Baba yako anajua sana ya kuwa nimeona kibali machoni pako, naye asema, Yonathani asilijue neno hili, asije akahuzunika; lakini ni kweli, aishivyo BWANA, na iishivyo roho yako, iko hatua moja tu kati ya mimi na mauti.
1 Samueli 20:4 - Swahili Revised Union Version Ndipo Yonathani akamwambia Daudi, Kadiri roho yako itakavyo, nitakutendea. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yonathani akamwambia, “Lolote utakalosema nitakutendea.” Biblia Habari Njema - BHND Yonathani akamwambia, “Lolote utakalosema nitakutendea.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yonathani akamwambia, “Lolote utakalosema nitakutendea.” Neno: Bibilia Takatifu Yonathani akamwambia Daudi, “Chochote unachotaka nifanye, nitakufanyia.” Neno: Maandiko Matakatifu Yonathani akamwambia Daudi, “Chochote unachotaka nifanye, nitakufanyia.” BIBLIA KISWAHILI Ndipo Yonathani akamwambia Daudi, Kadiri roho yako itakavyo, nitakutendea. |
Daudi akaapa, akasema, Baba yako anajua sana ya kuwa nimeona kibali machoni pako, naye asema, Yonathani asilijue neno hili, asije akahuzunika; lakini ni kweli, aishivyo BWANA, na iishivyo roho yako, iko hatua moja tu kati ya mimi na mauti.
Naye Daudi akamwambia Yonathani, Tazama, kesho ni mwandamo wa mwezi, nami hainipasi kukosa kuketi chakulani pamoja na mfalme; lakini niache nijifiche bondeni hadi siku ya tatu jioni.