Hata siku ya pili baada ya mwandamo wa mwezi, mahali pake palikuwa hapana mtu; basi Sauli akamwambia Yonathani mwanawe, Mbona mwana wa Yese haji kula chakula, jana wala leo?
1 Samueli 20:28 - Swahili Revised Union Version Naye Yonathani akamjibu Sauli, Daudi alitaka sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yonathani akamjibu, “Alinisihi sana nimruhusu aende Bethlehemu. Biblia Habari Njema - BHND Yonathani akamjibu, “Alinisihi sana nimruhusu aende Bethlehemu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yonathani akamjibu, “Alinisihi sana nimruhusu aende Bethlehemu. Neno: Bibilia Takatifu Yonathani akamjibu, “Daudi alinisihi sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu. Neno: Maandiko Matakatifu Yonathani akamjibu, “Daudi alinisihi sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu. BIBLIA KISWAHILI Naye Yonathani akamjibu Sauli, Daudi alitaka sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu; |
Hata siku ya pili baada ya mwandamo wa mwezi, mahali pake palikuwa hapana mtu; basi Sauli akamwambia Yonathani mwanawe, Mbona mwana wa Yese haji kula chakula, jana wala leo?
akasema, Tafadhali nipe ruhusa niende; kwa maana jamaa yetu wana dhabihu mjini mwetu; na ndugu yangu ameniamuru niende; basi sasa, kama nimeona kibali machoni pako, nakuomba, niondoke; nikawatazame ndugu zangu. Ndiyo sababu hakuja mezani pa mfalme.
Baba yako akiona ya kuwa sipo basi sema, Daudi alitaka sana nimpe ruhusa, aende upesi Bethlehemu, mji wake, kwa maana iko huko dhabihu ya mwaka kwa ajili ya jamaa yake yote.