Basi Daudi akamwambia Yonathani, Ni nani atakayeniambia, ikiwa baba yako amekujibu maneno makali?
1 Samueli 20:11 - Swahili Revised Union Version Yonathani akamwambia Daudi, Twende zetu nje mashambani. Wakatoka wote wawili, wakaenda mashambani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yonathani akamjibu, “Njoo twende shambani!” Basi, wakaenda. Biblia Habari Njema - BHND Yonathani akamjibu, “Njoo twende shambani!” Basi, wakaenda. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yonathani akamjibu, “Njoo twende shambani!” Basi, wakaenda. Neno: Bibilia Takatifu Yonathani akamwambia, “Njoo, twende shambani.” Basi wakaenda huko pamoja. Neno: Maandiko Matakatifu Yonathani akamwambia, “Njoo, twende shambani.” Basi wakaenda huko pamoja. BIBLIA KISWAHILI Yonathani akamwambia Daudi, Twende zetu nje mashambani. Wakatoka wote wawili, wakaenda mashambani. |
Basi Daudi akamwambia Yonathani, Ni nani atakayeniambia, ikiwa baba yako amekujibu maneno makali?
Naye Yonathani akamwambia Daudi, BWANA, Mungu wa Israeli, na awe shahidi; nitakapokuwa nimekwisha kumwuliza baba yangu, kama wakati huu kesho, au siku ya tatu, angalia, kama liko neno jema la kumfaa Daudi, je! Nisikupelekee habari na kukufunulia neno hili?