Biblia Todo Logo
La Biblia Online
- Anuncios -




Zaburi 119:13 - Swahili Roehl Bible 1937

13 Kwa midomo yangu nimeyasimulia maamuzi yote ya kinywa chako

Ver Capítulo Copiar


Más versiones

Biblia Habari Njema

13 Nitayarudia kwa sauti maagizo yako yote uliyotoa.

Ver Capítulo Copiar

Biblia Habari Njema - BHND

13 Nitayarudia kwa sauti maagizo yako yote uliyotoa.

Ver Capítulo Copiar

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Nitayarudia kwa sauti maagizo yako yote uliyotoa.

Ver Capítulo Copiar

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote zinazotoka katika kinywa chako.

Ver Capítulo Copiar

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote zinazotoka katika kinywa chako.

Ver Capítulo Copiar

BIBLIA KISWAHILI

13 Kwa midomo yangu nimezisimulia Hukumu zote za kinywa chako.

Ver Capítulo Copiar




Zaburi 119:13
14 Referencias Cruzadas  

Sitakufa, ila nitakuwapo, niyasimulie matendo ya Bwana.


Ulimi wangu na uliitikie Neno lako! Kwani maagizo yako yote ni yenye wongofu.


Nayo mashuhuda yako nitayasimulia hata mbele ya wafalme pasipo kuona soni.


Kwani maamuzi yake yote yako mbele yangu, nayo maongozi yake sikuyaacha, nisiyafuate.


Njoni, ninyi wana, mnisikilize, kumwogopa Bwana ndiko, nitakakowafundisha.


Kinywa chake mwongofu hueleza yenye werevu wa kweli, ulimi wake husema yaongokayo.


upate kuyaangalia mawazo ya moyo, midomo yako nayo iulinde ujuzi!


Ninalowaambia gizani lisemeni mwangani! Tena ninalowanong'oneza masikioni, litangazeni barazani!


Enyi wana wa nyoka, mnawezaje kusema mema, mlio wabaya? Kwani moyo unayoyajaa, ndiyo, kinywa kinayoyasema.


Kwani sisi hatuwezi kuacha, tusiyaseme, tuliyoyaona nayo tuliyoyasikia.


Maneno haya, ninayokuagiza leo, sharti yawe moyoni mwako.


Jikaze kuwafundisha watoto wako na kuyasema nao ukikaa nyumbani mwako, ukienda safari zako, ukitaka kulala, hata ukiamka!


Síguenos en:

Anuncios


Anuncios


¡Síguenos en WhatsApp! Síguenos