Ela Jehosheba, mwai wa Mzuri Joramu, nao ni mruna Ahazia, ukammbwada Joashi mwana wa Ahazia ukamwinja aghadi ya wana wa wazuri wawikwa tayari kubwaghwa, ukamvisa andenyi ya chumba chake chiaimweri na mleli wake. Kwa chia iyo ukamvisa usewono ni Athalia uchebwaghwa.