Biblia Todo Logo
線上聖經

- 廣告 -




Yoshua 19:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

1 Kura ya pili ilizipata ukoo za kabila la Simeoni na sehemu yao ya inchi ilikuwa imezungukwa na ile ya kabila la Yuda.

參見章節 複製




Yoshua 19:1
10 交叉參考  

Kwa vile eneo lililopewa kabila la Yuda lilikuwa kubwa kuliko kabila hilo lilivyohitaji, sehemu ya eneo lake lilipewa kabila la Simeoni.


Kabila la Simeoni lilipata miji ya: Beri-Seba, Seba, Molada, Hasari-Suali, Bala, Ezemu, Eltoladi, Betuli, Horma, Ziklagi, Beti-Makaboti, Hasari-Susa, Beti-Lebaoti na Saruheni. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake. Vilevile kulikuwa miji ya Aini, Rimoni, Eteri, na Asani. Jumla ya miji mine pamoja na vijiji vyake, pamoja na vijiji vyote vilivyoizunguka miji hiyo mpaka Balati-Beri na Rama ya Negebu. Hiyo yote ni sehemu zilizopewa ukoo za kabila la Simeoni.


Eneo linalopakana na eneo la Benjamina kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magaribi litakuwa la kabila la Simeoni.


Wana wa Lea walikuwa Rubeni, muzaliwa wa kwanza wa Yakobo, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuluni.


跟著我們:

廣告


廣告