Yoshua 17:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
3 Lakini Zelofehadi mwana wa Heferi, mujukuu wa Gileadi mwana wa Makiri mwana wa Manase, hakukuwa na watoto wa kiume, lakini alikuwa na wabinti tu nao walikuwa: Mala, Noa, Hogla, Milka na Tirza.
Mala, Noa, Hogla, Milka na Tirsa walikuwa wabinti za Selofehadi. Naye Selofehadi alikuwa mwana wa Heferi mwana wa Gileadi mwana wa Makiri mwana wa Manase mwana wa Yosefu.
Wengine waliobaki wa kabila la Manase walipewa sehemu yao kwa kura kulingana na ukoo zao. Ukoo hizo zilikuwa zile za Abiezeri, Heleki, Asirieli, Sekemu, Heferi na Semida ambao wote walikuwa wazao wa kiume wa Manase mwana wa Yosefu.