16 Yawe ananguruma kule Sayuni; sauti yake inavuma kutoka Yerusalema; mbingu na dunia vinatetemeka. Lakini Yawe ni kimbilio la watu wake, ni kikingio cha usalama kwa Waisraeli.