Biblia Todo Logo
線上聖經

- 廣告 -




Wafilipi 1:24 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

24 Lakini jambo la lazima zaidi kwa ajili yenu, mimi niendelee kuishi.

參見章節 複製




Wafilipi 1:24
5 交叉參考  

Lakini mimi ninawaambia ukweli: ni faida kwenu mimi niende, kwa maana nisipokwenda, Musaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda, nitamutuma kwenu.


Lakini ikiwa kama kuendelea kuishi ni kwa lazima kwa ajili ya kazi yangu, basi sijui nichague nini.


Maana ninasongwa na mambo mawili. Ninatamani kujiendea na kukaa pamoja na Kristo, maana hili ndilo jambo bora zaidi.


跟著我們:

廣告


廣告