Biblia Todo Logo
線上聖經

- 廣告 -




1 Samweli 13:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

8 Saulo alimungojea Samweli kwa muda wa siku saba, kama vile Samweli alivyosema. Lakini Samweli hakukuja kule Gilgali na watu walianza kumwacha Saulo.

參見章節 複製




1 Samweli 13:8
2 交叉參考  

Basi, Amasa akaenda kuwaita watu wa Yuda. Lakini akachelewa kurudi katika wakati ule aliopangiwa na mufalme.


Utanitangulia kwenda Gilgali, pahali ambapo nitakukuta na kutoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani. Utaningojea pale kwa muda wa siku saba mpaka nikuje na kukuonyesha la kufanya.”


跟著我們:

廣告


廣告