Zaburi 97:12 - Swahili Revised Union Version12 Enyi wenye haki, mfurahieni BWANA, Na kulishukuru jina lake takatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Furahini kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu; mshukuruni kwa ajili ya jina lake takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Furahini kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu; mshukuruni kwa ajili ya jina lake takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Furahini kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu; mshukuruni kwa ajili ya jina lake takatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Furahini katika Mwenyezi Mungu, enyi wenye haki, lisifuni jina lake takatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Furahini katika bwana, ninyi mlio wenye haki, lisifuni jina lake takatifu. Tazama sura |