Zaburi 83:17 - Swahili Revised Union Version17 Waaibike, wafadhaike milele, Naam, watahayarike na kupotea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Waone fedheha na kuhangaika milele, waangamie kwa aibu kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Waone fedheha na kuhangaika milele, waangamie kwa aibu kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Waone fedheha na kuhangaika milele, waangamie kwa aibu kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Wao na waaibishwe na kufadhaishwa milele, na waangamie kwa aibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Wao na waaibishwe na kufadhaishwa milele, na waangamie kwa aibu. Tazama sura |