Zaburi 64:4 - Swahili Revised Union Version4 Wapate kumpiga mkamilifu faraghani, Kwa ghafla humpiga bila kuogopa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Toka mafichoni wamshambulia mtu mnyofu, wanamshambulia ghafla bila kuogopa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Toka mafichoni wamshambulia mtu mnyofu, wanamshambulia ghafla bila kuogopa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Toka mafichoni wamshambulia mtu mnyofu, wanamshambulia ghafla bila kuogopa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hurusha mishale kutoka mavizio kwa mtu asiye na hatia, humrushia ghafula bila woga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hurusha mishale kutoka kwenye mavizio kwa mtu asiye na hatia, humrushia ghafula bila woga. Tazama sura |