Zaburi 61:6 - Swahili Revised Union Version6 Utaziongeza siku za mfalme, Miaka yake itakuwa kama vizazi vingi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Umjalie mfalme maisha marefu, miaka yake iwe ya vizazi vingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Umjalie mfalme maisha marefu, miaka yake iwe ya vizazi vingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Umjalie mfalme maisha marefu, miaka yake iwe ya vizazi vingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mwongezee mfalme siku za maisha yake, miaka yake kwa vizazi vingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mwongezee mfalme siku za maisha yake, miaka yake kwa vizazi vingi. Tazama sura |