Zaburi 48:7 - Swahili Revised Union Version7 Kama upepo wa mashariki Unapovunja jahazi za Tarshishi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 kama waliokumbwa na kimbunga cha mashariki ambacho huzivunjavunja meli za Tarshishi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 kama waliokumbwa na kimbunga cha mashariki ambacho huzivunjavunja meli za Tarshishi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 kama waliokumbwa na kimbunga cha mashariki ambacho huzivunjavunja meli za Tarshishi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Uliwaangamiza kama meli za Tarshishi zilizovunjwa na upepo wa mashariki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Uliwaangamiza kama meli za Tarshishi zilizovunjwa na upepo wa mashariki. Tazama sura |