Zaburi 47:4 - Swahili Revised Union Version4 Ametuchagulia urithi wetu, Fahari ya Yakobo ampendaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Ametuchagulia nchi hii iwe urithi wetu, ambayo ni fahari ya Yakobo anayempenda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Ametuchagulia nchi hii iwe urithi wetu, ambayo ni fahari ya Yakobo anayempenda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Ametuchagulia nchi hii iwe urithi wetu, ambayo ni fahari ya Yakobo anayempenda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Alituchagulia urithi wetu, fahari ya Yakobo, aliyempenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Alituchagulia urithi wetu, fahari ya Yakobo, aliyempenda. Tazama sura |