Zaburi 15:4 - Swahili Revised Union Version4 Anayedharau waovu Machoni pake, Bali huwaheshimu wamchao BWANA Aliyeapa ingawa kwa hasara yake, Hayabadili maneno yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 ni mtu anayewadharau wafisadi, lakini huwaheshimu wamchao Mwenyezi-Mungu; ni mtu asiyegeuza kiapo chake hata kikimtia hasara; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 ni mtu anayewadharau wafisadi, lakini huwaheshimu wamchao Mwenyezi-Mungu; ni mtu asiyegeuza kiapo chake hata kikimtia hasara; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 ni mtu anayewadharau wafisadi, lakini huwaheshimu wamchao Mwenyezi-Mungu; ni mtu asiyegeuza kiapo chake hata kikimtia hasara; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 ambaye humdharau mtu mbaya, lakini huwaheshimu wale wamwogopao Mwenyezi Mungu, yule atunzaye kiapo chake hata kama anaumia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 ambaye humdharau mtu mbaya, lakini huwaheshimu wale wamwogopao bwana, yule atunzaye kiapo chake hata kama anaumia. Tazama sura |