Zaburi 109:9 - Swahili Revised Union Version9 Wanawe na wawe yatima, Na mkewe na awe mjane. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Watoto wake wawe yatima, na mke wake awe mjane! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Watoto wake wawe yatima, na mke wake awe mjane! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Watoto wake wawe yatima, na mke wake awe mjane! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Watoto wake na waachwe yatima, mke wake na awe mjane. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Watoto wake na waachwe yatima, mke wake na awe mjane. Tazama sura |