Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 109:21 - Swahili Revised Union Version

21 Na Wewe, MUNGU, Bwana, unitendee kwa ajili ya jina lako, Kwa kuwa fadhili zako ni njema uniokoe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Lakini ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu, unitendee kadiri ya hisani yako; uniokoe, kwa sababu ya wema wa fadhili zako!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Lakini ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu, unitendee kadiri ya hisani yako; uniokoe, kwa sababu ya wema wa fadhili zako!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Lakini ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu, unitendee kadiri ya hisani yako; uniokoe, kwa sababu ya wema wa fadhili zako!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Lakini wewe, Ee Bwana Mungu Mwenyezi, unitendee wema kwa ajili ya jina lako, uniokoe kwa wema wa pendo lako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Lakini wewe, Ee bwana Mwenyezi, unitendee wema kwa ajili ya jina lako, uniokoe kwa wema wa pendo lako.

Tazama sura Nakili




Zaburi 109:21
13 Marejeleo ya Msalaba  

Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.


Ee BWANA, kwa ajili ya jina lako, Unisamehe uovu wangu, maana ni mwingi.


Ndiwe mwamba wangu na ngome yangu; Kwa ajili ya jina lako uniongoze na unichunge.


Maana fadhili zako ni njema kuliko uhai; Midomo yangu itakusifu.


Ee BWANA, unijibu, maana fadhili zako ni njema, Kwa kadiri ya rehema zako unielekee.


Nami niliye maskini na mtu wa huzuni, Mungu, wokovu wako utaniinua.


Lakini Wewe, Bwana, U Mungu wa rehema na neema, Mvumilivu, mwingi wa fadhili na kweli.


Kwa maana Wewe, Bwana, U mwema, Umekuwa tayari kusamehe, Na mwingi wa fadhili, Kwa watu wote wakuitao.


Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imekwisha kufika. Mtukuze Mwanao, ili Mwana wako naye akutukuze wewe;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo