Yobu 9:6 - Swahili Revised Union Version6 Aitikisaye dunia itoke mahali pake, Na nguzo zake hutetemeka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Yeye huitikisa dunia kutoka mahali pake, na nguzo zake zikatetemeka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Yeye huitikisa dunia kutoka mahali pake, na nguzo zake zikatetemeka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Yeye huitikisa dunia kutoka mahali pake, na nguzo zake zikatetemeka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Aitikisa dunia kutoka mahali pake na kuzifanya nguzo zake zitetemeke. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Aitikisa dunia kutoka mahali pake na kuzifanya nguzo zake zitetemeke. Tazama sura |