Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 9:34 - Swahili Revised Union Version

34 Na aniondolee fimbo yake, Na utisho wake usinitie hofu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Mungu na aniondolee hiyo fimbo ya kunipiga, na kitisho chake kisinitie hofu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Mungu na aniondolee hiyo fimbo ya kunipiga, na kitisho chake kisinitie hofu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Mungu na aniondolee hiyo fimbo ya kunipiga, na kitisho chake kisinitie hofu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 mtu wa kuondoa fimbo ya Mungu juu yangu, ili utisho wake usiendelee kunitia hofu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 mtu angeliiondoa fimbo ya Mungu juu yangu, ili utisho wake usiendelee kunitia hofu.

Tazama sura Nakili




Yobu 9:34
11 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Huo ukuu wake hautawatia hofu, Na utisho wake hautawaangukia?


Kwa hiyo naona taabu mbele ya uso wake; Nitakapofikiri, namwogopa.


Kwani msiba utokao kwa Mungu ulikuwa na kitisho kwangu, Na kwa sababu ya ukuu wake sikuweza kufanya neno.


Tazama, utisho wangu hautakutia hofu wewe, Wala sitakulemea kwa uzito.


Moyo wangu hutetemeka kwa hayo pia, Nao huruka kutoka mahali pake.


Uniondolee pigo lako; Kwa mapigo ya mkono wako nimeangamia.


Ukimrudi mtu kwa kumkemea kwa uovu wake, Watowesha uzuri wake kama nondo. Kila mwanadamu ni ubatili.


Basi, nitawarudi makosa yao kwa fimbo, Na uovu wao kwa mapigo.


Ni nani aujuaye uweza wa hasira yako? Na ghadhabu yako inayolingana na kicho chako?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo