Yobu 5:16 - Swahili Revised Union Version16 Basi hivi huyo maskini ana matumaini, Na uovu hufumba kinywa chake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hivyo maskini wanalo tumaini, nao udhalimu hukomeshwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hivyo maskini wanalo tumaini, nao udhalimu hukomeshwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hivyo maskini wanalo tumaini, nao udhalimu hukomeshwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kwa hiyo maskini analo tarajio, nao udhalimu hufumba kinywa chake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwa hiyo maskini analo tarajio, nao udhalimu hufumba kinywa chake. Tazama sura |