Yobu 5:12 - Swahili Revised Union Version12 Yeye huitangua mipango ya wadanganyifu, Mikono yao isipate kuyatimiza makusudi yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Huvunja mipango ya wenye hila, matendo yao yasipate mafanikio. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Huvunja mipango ya wenye hila, matendo yao yasipate mafanikio. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Huvunja mipango ya wenye hila, matendo yao yasipate mafanikio. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Huipinga mipango ya wenye hila, ili mikono yao isifikie ufanisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Huipinga mipango ya wenye hila, ili mikono yao isifikie ufanisi. Tazama sura |