Yobu 40:7 - Swahili Revised Union Version7 Jifunge viuno kama mwanamume, Mimi nitakuuliza neno, nawe niambie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 “Jikaze kama mwanamume. Nitakuuliza, nawe utanijibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 “Jikaze kama mwanamume. Nitakuuliza, nawe utanijibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 “Jikaze kama mwanamume. Nitakuuliza, nawe utanijibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu. Tazama sura |