Yobu 40:6 - Swahili Revised Union Version6 Ndipo BWANA akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na kusema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hapo Mwenyezi-Mungu akamjibu kutoka kimbunga: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hapo Mwenyezi-Mungu akamjibu kutoka kimbunga: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hapo Mwenyezi-Mungu akamjibu kutoka kimbunga: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ndipo Mwenyezi Mungu akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ndipo bwana akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli: Tazama sura |