Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 40:5 - Swahili Revised Union Version

5 Nimenena mara moja, nami sitajibu; Naam, nimenena mara mbili, lakini sitaendelea zaidi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Nilithubutu kusema na sitasema tena. Nilisisitiza lakini sitaendelea kusema zaidi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Nilithubutu kusema na sitasema tena. Nilisisitiza lakini sitaendelea kusema zaidi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Nilithubutu kusema na sitasema tena. Nilisisitiza lakini sitaendelea kusema zaidi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Nimesema mara moja, lakini sina jibu; naam, nimesema mara mbili, lakini sitasema tena.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Nimesema mara moja, lakini sina jibu; naam, nimesema mara mbili, lakini sitasema tena.”

Tazama sura Nakili

Yobu 40:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mfalme wa Israeli akapeleka watu mpaka mahali pale alipoambiwa na yule mtu wa Mungu, na kuhadharishwa; akajiokoa nafsi yake, si mara moja, wala si mara mbili.

Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ijapokuwa mtu hatambui.

Ambaye, nijapokuwa mimi ni mwenye haki, siwezi kumjibu; Ni lazima nimwombe mshitaki wangu anihurumie.

Kama akipenda kushindana naye, Hawezi kumjibu neno moja katika elfu.

Mara moja amenena Mungu; Mara mbili nimeyasikia haya, Ya kuwa nguvu zina Mungu,

Basi twajua ya kuwa mambo yote inenayo torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, ili kila kinywa kifumbwe, na ulimwengu wote uwe chini ya hukumu ya Mungu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo