Yobu 38:18 - Swahili Revised Union Version18 Umeyafahamu mapana ya dunia? Haya! Sema, ikiwa unayajua hayo yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Je, wajua ukubwa wa dunia? Niambie kama unajua haya yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Je, wajua ukubwa wa dunia? Niambie kama unajua haya yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Je, wajua ukubwa wa dunia? Niambie kama unajua haya yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Je, wewe unafahamu ukubwa wa dunia? Niambie kama unajua haya yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Je, wewe unafahamu ukubwa wa dunia? Niambie kama unajua haya yote. Tazama sura |