Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 36:2 - Swahili Revised Union Version

2 Ningojee kidogo nami nitakueleza; Kwa kuwa ningali na maneno kwa ajili ya Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 “Nivumilie kidogo, nami nitakuonesha kitu; maana bado ninacho cha kusema kwa niaba ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 “Nivumilie kidogo, nami nitakuonesha kitu; maana bado ninacho cha kusema kwa niaba ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 “Nivumilie kidogo, nami nitakuonesha kitu; maana bado ninacho cha kusema kwa niaba ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Nivumilie kidogo zaidi nami nitakuonesha kwamba yako mengi zaidi ya kusemwa kwa ajili ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 “Nivumilie kidogo zaidi nami nitakuonyesha kwamba yako mengi zaidi ya kusemwa kwa ajili ya Mungu.

Tazama sura Nakili




Yobu 36:2
11 Marejeleo ya Msalaba  

Niacheni, nami pia nitanena; Tena nikiisha nena, zidini kudhihaki.


Tazama, mimi ni mbele ya Mungu kama ulivyo wewe; Mimi nami nilifinyangwa katika udongo.


Tena Elihu akaendelea na kusema,


Nitayaleta maarifa yangu kutoka mbali, Nami nitampa haki Muumba wangu.


Naye atakuwa msemaji wako kwa watu, hata yeye atakuwa mfano wa kinywa kwako, nawe utakuwa mfano wa Mungu kwake.


Kwa sababu hiyo BWANA asema hivi, Ukirudi, ndipo mimi nitakapokurejesha, upate kusimama mbele zangu; nawe ukitoa kilicho cha thamani katika kilicho kibovu, utakuwa kama kinywa changu; nao watakurudia wewe, bali hutawarudia wao.


Nawe utawaambia maneno yangu, iwe watasikia au hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana.


Basi tu wajumbe kwa ajili ya Kristo, kana kwamba Mungu anasihi kwa vinywa vyetu; twawaomba ninyi kwa ajili ya Kristo mpatanishwe na Mungu.


Lakini nawasihi, ndugu, mchukuliane na neno hili lenye maonyo maana nimewaandikia kwa maneno machache.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo