Yobu 24:8 - Swahili Revised Union Version8 Hutota kwa manyunyu ya milimani, Na kugandamania kwa jabali ili kujikinga, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wamelowa kwa mvua ya milimani, hujibanza miambani kujificha wasilowe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wamelowa kwa mvua ya milimani, hujibanza miambani kujificha wasilowe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wamelowa kwa mvua ya milimani, hujibanza miambani kujificha wasilowe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Hutota kwa mvua za mlimani, nao huikumbatia miamba kwa ajili ya kukosa pa kujisitiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Hutota kwa mvua za mlimani, nao huikumbatia miamba kwa ajili ya kukosa pa kujisitiri. Tazama sura |