Yobu 19:6 - Swahili Revised Union Version6 Jueni basi kuwa Mungu amenipotosha, Na kunizingira kwa wavu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Jueni kwamba Mungu amenitendea vibaya, na kuninasa katika wavu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Jueni kwamba Mungu amenitendea vibaya, na kuninasa katika wavu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Jueni kwamba Mungu amenitendea vibaya, na kuninasa katika wavu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya, naye amekokota wavu wake kunizunguka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya, naye amekokota wavu wake kunizunguka. Tazama sura |